Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 580. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hizi nyumba zipo ndani ya Kiwanja kimoja kizuri, Na ni-ndani ya Fensi. Eneo ni jirani na Hospitali ya Wilaya (Maarufu AMANA NDOGO)-KIVULE. Kila nyumba inajitegemea na ina vyumba 3 ( masta 1) Pia Sebule,Jiko,Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Parking ni kubwa na ina Paving safi. Pia, kuna Kisima cha Maji matamu. Ujenzi wa kisasa na unaovutia. ______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000 (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ______________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 580. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hizi nyumba zipo ndani ya Kiwanja kimoja kizuri, Na ni-ndani ya Fensi. Eneo ni jirani na Hospitali ya Wilaya (Maarufu AMANA NDOGO)-KIVULE. Kila nyumba inajitegemea na ina vyumba 3 ( m...
https://advertisingdar.co.tz/ad/nyumba-2-vyumba-6-na-fremu-2kivule-fremu-kumi/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.