Mungu akupe nini?
Wahi ujitwalie Mali hii.
Unaweza kuishi hapohapo na pia kuipangisha nyingine au kama unayo Familia kubwa hapa umefika sasa.
Ni nyumba mbili kubwa za kisasa katika Kiwanja kimoja kikubwa.
Unaachiwa kwa Bei rafiki kabisa ya Tsh.80 Milioni kwa zote.
Yaani THEMANINI MILIONI.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Eneo ni jirani na Barabara ya Lami.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________Tp
Nyumba moja Ina jumla ya Vyumba 4 na ya pili Vyumba 3.
Kila moja inajitegemea.
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.