Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Nyumba moja Ina vyumba 4 ( 2 vyoo ndani)
Nyumba ya pili Ina vyumba 3 ( 2 masta)
Kila moja ina Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Vilevile kuna Servant’s Quarter yenye chumba kimoja.
______________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Nyumba hizo zipo ndani ya Fensi na kuna Kisima cha Maji cha kuchimba.
Ukihitaji kukagua, taarifa mapema tafadhali.