Mradi huu upo jirani na Mjini.
Ni kilomita 21 tu kutoka katikati ya Mji Dar, na ni kikomita 10 tu kutoka Mlimani City Mall.
Kizuri ni kuwa unaangalia Barabara ya Lami na huduma muhimu za Kijamii zinqpatikana kiurahisi.
Viwanja vipo vingi na ukubwa kati ya SQM.500-1,000.
IKIKUPENDEZA unaweza kuunganisha ukapata eneo kubwa kadiri upendavyo na kuendana na uwezo wako.
Bei kwa Sqm 1 ni Tshs.140,000.
Maana yake kwa mfano;
Kiwanja chenye ukubwa wa Sqm.500 Bei yake ni Tshs.70 Milioni.
Eneo LIMEPIMWA.
Kuhusu miundo mbinu muhimu usiulize,
Ipo na hutaamini macho yako ukifika hapa.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
____________JKG
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.