Hapa vimebaki Viwanja 8 tu na kila vinne vimeungana.
Viwanja hivi ni vya MAKAZI na vipo umbali wa kilomita 2.5 kutoka Kona ya Kinzudi, kwa Barabara ya Mbezi/Goba.
Ni jirani na MAGOROFANI.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasikiana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________JGK
Ukubwa unaanzia SQM 700-900.
Bei ni Tshs.140,000/SQM.
Eneo linaendelea kwa kasi na kuna utulivu.
WAHI WAHI WAHI, Usije ukachelewa.