Ndani ya Fensi,
Gari haingii ndani.
HAKUNA JIKO.
Ni jirani sana na Kituo cha Daladala.
Ujenzi wa kisasa na mazingira tulivu.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000
(Unalipa wewe Mpangaji)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________________