Hizi ni nyumba mbili za kisasa za kumalizia ujenzi, katika Kiwanja kimoja.
Zimefikia hatua ya Kupaua.
Kila nyumba Inajitegemea na ina Vyumba viwili (2) vya kulala ( Masta 1) Sebule, Jiko-la-Wazi na Choo cha Familia ndani.
UKINUNUA KWA BEI TAJWA UNAZAWADIWA BATI 200 ZA KISASA (MGONGO MPANA) PAMOJA NA GRILL ZA DIRISHA.
MUNGU AKUOE NINI?.
Karo za Maji Taka zimeshachimbwa.
______________
ANGALIZO
Malipo ya Dalali ni 10^
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Wahi kabla hujawahiwa.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.