Loading…
Views:
TZS270,000,000.00

MADUKA MATANO, TSHS.270 MILIONI, MAGOMENI-MAPIPA

0 0 Reviews
Posted on 04 May 2025

Country: Dar es Salaam

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: House , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:


Hii nyumba inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa. 

Mtaa uliojengeka KIBIASHARA. 

Hapa kuna Fremu za Biashara/Maduka jumla 5.

Pìa kuna Nyumba ya vyumba vya kulala 2 nyuma.

Maduka yote yana WAPANGAJI kwa sasa.

Ukinunua utaamùa uishi nao au Usitishe Mikataba. 

Kodi kila Duka ni Tshs.250,000/Mwezi.

Ķiwanja kina ukubwa wa SQM.350.

WAHI UJITWALIE KITEGAUCHUMI SAFI.

____________

ANGALIZO:

Malipo ya Dalali ni 10%

Kuona ni Tshs.50,000. 

(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. 

____________llk


Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali. 


Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS270,000,000.00

MADUKA MATANO, TSHS.270 MILIONI, MAGOMENI-MAPIPA

0 0 Reviews
Posted on 04 May 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top