Ni eneo lililochangamka KIBIASHARA.
Lipo umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Lami ya Morogoro.
SALANGA,KIMARA TEMBONI.
Nafasi ni kubwa ya kuweza kuendeleza kubuni na Kuweka Biashara anuai.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.3,500 KIMEPIMWA (Hati bado kutoka)
Unaweza kujenga jengo la Biashara/Maduka zaidi, Hotel,
Lodge nk.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.