KIWANJA NI ZAIDI YA SQM.1,000.
BEI HII INAHUSISHA MABWANA NA ARDHI ILIYOBAKI.
ENEO LINAPAKANA NA BONDE,
MABWAWA YAPO JUU ZAIDI NA PANAENDELEZEKA.
UNAWEZA PIA KUFANYA UFUGAJI MWINGINE KAMA NG’OMBE. KUKU NK.
GARI INAFIKA PIA HUDUMA ZA UMEME NA MAJI ZIPO.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________DLMk
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.