,
MBEZI MWISHO/MOROGORO RD.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa vyumba kwa sasa wanatoza 20,000 -vyumba 8
Na vyumba 6 vilivyobaki wanatoza Tshs.15,000.
Ni jirani sana na Barabara ya MOROGORO/MAGUFULI TERMINAL.
HAPA UNAWEKEZA NA KUANZA KUVUNA PESA HAPOHAPO.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Ina Tiles, Gypsum na Dirisha za Vioo na Parking pia.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali..