Country: Dar es Salaam
Eneo ni MBAGALA KUU.
Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI.
Maboresho yanayohitajika ni madogo.
Na watu wanaishi.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Eneo ni MBAGALA KUU. Hiì ni nyumba yaenye jumla vyumba vitatu (3) chumba kimoja ni Masta, Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 300. Umiliki ni LESENI YA MAKAZI. Ipo umbali wa mita 100 tu kutoka Barabara ya Lami ya KIJICHI...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kupanga-utake-wewe-sasa-hii-tsh-15-mil-mbagala/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.