Madish Installers:
Vijana wabobezi na wachapakazi, Tunafunga mfumo wa cable na mifumo yote ya tv channels kwa kutumia satellite dish aina zote, Unapata Channels zote clear bila chenga, hususani kwenye Hotel, Apartment, Office, Sportsbar n.k. Tunafunga kwa ustadi na kwa gharama nafuu!! Pia tunauza vifaa vyote vinavyohusika.
Tupo Mwenge Jamirex street karibu na geti la kuingia mwenge bus terminal. Tunafanyakazi mikoa yote Tanzania.
Tunafunga CCTV cameras na Electric fence.
Karibu upate ushauri na tukuhudumie pia!!