Hiki ni Kiwanja maalum kwaajili ya Makazi na Biashara tu.
Kinaiangalia Barabara ya Lami.
Kwanja nj kizu4i na kipo ndani ya Uzio.
HATI MILIKI (Title Deed) ya Wizara ipo
Kipo umbali wa kilomita 4 tu kutoka katikati ya Mji wa Dar.
KIBALI HAI CHA UJENZI WA NYUMBA YA GHOROFA YENYE SAKAFU TISA (9) kipo.
________
ANGAKIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________mmU
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafdhali.