Kiwanja kizuri mno kwaajili ya Makazi.
Kipo ndani ya Uzio na kina Geti.
Kipo Kitalu C
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
_____________
Utulivu, usalama na ustaarabu kama wote.
Wahi ujitwalie Mali bora.