Loading…
Views:
TZS700,000,000.00

KIWANJACHA MAKAZI/BIASHARA,6,303, MOSHI MJINI

0 0 Reviews
Posted on 28 March 2025

Country: Kilimanjaro

  • Parking: Secure Parking
  • Type of property: Plot , Commercial Property
  • Available for: Sale

Description:

Hili eneo linaangalia Barabara ya Moshi/Arusha. Lipo upande wa kushoto ukielekea Arusha kutoka Moshi. Mbele lina Maduka na nyuma lipo wazi. Panafaa kuweka Shughuli ya KiBiashara kama Mall, Jengo la kisasa la Ofisi, Yard,Kiwanda nk. Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara. ____________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni 100,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ____________zw   Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

Write a Review

Select File Select File
Views:
TZS700,000,000.00

KIWANJACHA MAKAZI/BIASHARA,6,303, MOSHI MJINI

0 0 Reviews
Posted on 28 March 2025
Safety tips for deal
  1. Use a safe location to meet seller
  2. Avoid cash transactions
  3. Beware of unrealistic offers
Top