Hiki Kiwanja ni kizuri na kipo umbali wa wastani wa Kilomita 14 kutoka Ferry.
Kutoka Barabara kuu ya kuelekea Cheka ni Kilomita 1 tu.
Panajengeka kwa Kasi na huduma muhimu zipo jirani.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.