Kipo umbali wa wastani wa kilomita 1tu kutoka Barabara ya Goba.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Eneo zuri, tambarare na linalojengeka kwa kasi.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.