Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni wastani wa kilomita 3 tu kutoka Mbuyuni/Bagamayo road na kilomita 1 kutika Barabara ya Lami ya Salasala.
Ni jirani na Shule ya Msingi ya Benako.
Kiwanja kinaangali Barabara ya Mtaa na eneo ni zuri linalojengeka kwa kasi.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
________________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.