Hapa ni umbali wa mita 70 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo, TEGETA SENTA.
Ukubwa wa SQM. 851.
KIMEPIMWA.
Mtaa mzuri na uliojengeka vizuri.
__________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
__________mng
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.