Country: Dar es Salaam
Ni umbali wa Mita 70 tu kutoka Barabara ya Kinyerezi/Majumbasita.
Ukubwa wa SQM. 800.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa panafa sana kwa Makazi tulivu au nyumba za kupangisha(Apartments)
Kumbuka ni jirani na Airport JNIA.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Ni umbali wa Mita 70 tu kutoka Barabara ya Kinyerezi/Majumbasita. Ukubwa wa SQM. 800. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Hapa panafa sana kwa Makazi tulivu au nyumba za kupangisha(Apartments) Kumbuka ni jirani na Airport JNIA. ____________ ANGALIZO: Ma...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kiwanja-sqm-800-tshs-145-mil-ukonga-stakishari/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.