Kipo jirani sana na Barabara ya Morogoro.
Hapa panafaa kuweka Garage,
Kujenga nyumba nyingi za kuoangisha (Apartments)
Yard nk.
Ukubwa ni SQM 4,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Barabara ya kufika hapa ni Panda.
Gari kubwa zinafika hapa pasi na shaka.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.