Ukubwa ni Mita za Mraba 400
Umiliko ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa kilomita 4 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dslali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali wasiliana nami iwapo unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Huduma za Umeme na Maji zipo.
Eneo limejengeka vizuri.