Kiwanja kizuri chenye HATI MILIKI (Title Deed) ya Wizara.
Kipo jirani na Barabara ya Lami.
Mtaa mpana, tulivu na uliojengeka vizuri.
Kiwanja kioo ndani ya Fensi na Geti lipo.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
__________fn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.