Kiwanja kizuri tambarare.
Kipo umbali wa kilomita 5 tu kutoka MLANDIZI MJINI.
Eneo ni DISUNYALA mbele kidogo ya Kituo cha Dukani kwa Waiti au Msikitiki njia ya kwenda MDENGA.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
_____________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali 10%
Kuona Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZ)
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
_____________mmD
Eneo sasa hivi ndio linajengeka.
Njoo uweke Makazi yako tulivu au uanzishe shughuli za Ufugaji ka Kuku nk.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.