Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Hapa unaweza kuweka makazi yako mazuri na tulivu ama ukipenda unaweka Makazi/Biashara.
Nasema WAHI UTACHELEWA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalioa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zilizoainishwa.
_________________Dmw
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.