Kinaangalia barabara ya Lami.
Kuna nyumba ya kizamani ya kurekebisha au kuvunja.
Panafaa kuweka Jengo la Biashara.
Umiliki ni HATI (Title deed) ya Wizara.
____________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
____________________zw
Ukihitaji kuona taarifa mapema tafadhali.