Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 550.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Ni umbali wa kilomita 2 kutoka Barabara ya Morogoro/
Magufuli Terminal.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tuunaridhia taratibu zangu.
___________mpg