Kiwanja hiki kipo mita 400 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Uelekeo wa Mabwepande.
Kwa mwendo wa miguu wa kawaida ni Dakika 15.
Kiwanja hiki kinaiangalia Barabara ya Mtaa.
Unaweza kujenga Maduka mbele, nyuma ukaweka Mjengo wako
Au kujenga nyumba yako yenye nafasi pekeyake.
Acha kujenga ‘madongokuinama’ hata kumuelekeza mtu shida.
Ukubwa ni zaidi ya Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Eneo limejengeka vizuri.
Huduma muhimu zipo jirani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.