Hiki ni Kiwanja kizuri ambacho kipo pembeni mwa Barabara Pana.
Ukubwa ni SQM.4,600.(ZAIDI YA EKA MOJA)
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Umbali wa kilomita 16 kutoka Ferry Terminal/Magogoni na
Mita 600 tu kufika Beach (Dakika 20 kutembea) pia ni mita 200 tu kutoka Barabara ya Lami.
Hapa kuna huduma ya Umeme ndani ya Kiwanja.
Pako tambarare na panafaa makazi au hata kuweka Biashara kama Nyumba za kupangishà, Shule,Ukumbi wa Sherehe, Nyumba ya Ibada, Zahanati nk.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________jfh/jzn
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali