Kiwanja kizuri na kipo eneo tulivu.
Zaidi ya ukubwa unaosomeka kwenye Hati kuna eneo zaidi hapohapo la sqm.400+
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe Mnunuzi.
(Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu)
_________fan
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.