Country: Dar es Salaam
Kiwanja hiki kipo mita 300 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo.
Jirani na njia ya kuelekea Mabwepande.
Kwa mwendo wa miguu wa kawaida ni Dakika 5 kufika Barabara ya Bagamoyo..
Unaweza kujenga Maduka mbele,
Nyuma ukaweka Mjengo wako
Au kujenga nyumba yako yenye nafasi pekeyake.
Ukubwa ni Mita za Mraba 500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Eneo limejengeka vizuri.
Huduma muhimu zipo jirani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja hiki kipo mita 300 tu kutoka Barabara ya Bagamoyo. Jirani na njia ya kuelekea Mabwepande. Kwa mwendo wa miguu wa kawaida ni Dakika 5 kufika Barabara ya Bagamoyo.. Unaweza kujenga Maduka mbele, Nyuma ukaweka Mjengo wako Au kujenga nyumba yak...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kiwanja-kizuri-cha-makazi-sqm-600-bunju/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.