Ni wastani wa kilomita 2.5 kutoka Kituo cha Kona ya Kinzudi ukipitia Goba/Mbezi road.
Eneo lipo jirani GOBA MAGOROFANI na linajengeka kwa kasi.
Kiwanja KIMEPIMWA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratobu zangu.
_________________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.