Matumizi ni MAKAZI NA BIASHARA.
Eneo ni MAPINGA (Kituo cha Tatu baada ya Bunju B) ukielekea Bagamoyo.
Kioo umbali wa mita 100 kutoka Barabara ya Lami.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mng
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.