Country: Dar es Salaam
Hapa ni jirani na KANISA LA KKKT au BETHEL PRIMARY SCHOOL.
MBEZI MSAKUZI.
Na hiki ni Kiwanja kizuri cha kwenye Kona,
Kipo umbali wa Mita 600 tu kutoka Barabara kuu ya kuelekea MSAKUZI mwisho.
Ndani ya Kiwanja kuna Msingi wa nyumba kubwa yakujitegemea (vyumba 3)
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Bei imeporomoshwa ili Bank wafidie Pesa yao fasta hivyo kama wewe ni mhitaji wahi mapema kuona navufanye maamuzi.
_________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Hapa ni jirani na KANISA LA KKKT au BETHEL PRIMARY SCHOOL. MBEZI MSAKUZI. Na hiki ni Kiwanja kizuri cha kwenye Kona, Kipo umbali wa Mita 600 tu kutoka Barabara kuu ya kuelekea MSAKUZI mwisho. Ndani ya Kiwanja kuna Msingi wa nyumba kubwa yakujitegemea...
https://advertisingdar.co.tz/ad/kiwanja-chenye-msingi-sqm-500-kinauzwa-na-bank/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.