Eneo ni MAKABE,MBEZI MWISHO.
Eneo lipo wastani wa mita 800 kutoka Barabara ya MAKABE/MBEZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Haya MAPAGALE yalikusudiwa kuwa Nyumba za Kupangisha ( Apartments)
Kila moja inajitegemea.
Na ina vyumba 2 ( Vyote Vyoo ndani))
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Eneo ni kubwa unaweza kuongeza kadhaa nyingine.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.