Ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Lami na mi kilomita 7 kutoka Ferry.
Kina Kuta safi pande 3 wewe unajenga ukuta mmoja maisha yanasonga.
Mtaa umejengeka vizuri na kuoangika,
Sio vurugu mechi.
__________________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali nitafute iwapo tu unaridhia taratibu Taiwan.
__________________
Ukihitaji kukikagua taarifa mapema tafadhali.