E
Kiwanja hiki kioo eneo zuri la kuweka Makazi yako tulivu ama kujenga nyumba ya Biashara (Apartments) kama wafanyavyo wengi wanaowekeza SINZA.
Ni jirani na Barabara ya Lami.
Kiwanja kipo ndani ya Fensi na Geti juu.
Huduma ya Uneme ipo na Maji pia.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
______________
ANGALIZO:
Malipk ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe Mnunuzi
(Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________f-sm
Kuina taarifa mapema tafadhali.