Kinaangalia Barabara ya Lami inayotoka SINZA-KIJIWENI kuelekea MAGOMENI- KANISANI.
Umiliki ni LESENI YA MAKAZI.
Kwasasa kuna Jumba la kizamani la kuvunja ili kupisha ujenzi mpya.
Hapa panafaa kuweka jengo la BIASHARA kama Ofisi,Maduka, SHOW-ROOM au vinginevyo utakavyopenda wewe.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________hs
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.