.
Hapa panafaa sana kujenga Kituo cha Mafuta (Fuels Station) au Jengo la Biashara kama Maofisi/Maduka.
Ukubwa wa Kiwana ni Mita za Mraba 330.
Umiliki ni Leawni ya Makazi.
————————–
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia Taratibu zangu.
————————–t
Bei ni Tshs.350 Milioni.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.