Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2,000.
(ELFU MBILI, PA-KUBWA MNO)
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
KIBALI halali na HALISI cha ujenzi kipo.
Ramani ya Ujenzi na MSINGI ni kwaajili ya Ghorofa ys Sakafu mbili (FLOOR 2) na inatakiwa kuwa na jumla ya vyumba 7 vya kulala.
Eneo lipo umbali wa kilomita mbili tu kutoka Barabara ya Morogoro.
_______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhalia wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_______________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.