Jengo linaangalai Barabara ya Lami.
Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 2,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
______________mpg
Apartment mbili kila moja ina Vyumba 3 (Masta 1)
Pi a Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Apartment moja Ina Vyumba 2 vya kulala,
Masta moja, Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.