Ipo umbali wa mita 200 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Ukubwa wa Kiwanja ni Mita za Mraba 600.
Kiwanja kimepimwa (Hati ipo kwenye Mchakato)
—————————-
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe mnunuzi)
Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratinu zangu.
—————————-
Ujenzi wakisasa.
Vyumba 4 vya kulala ( 1 Masta)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining na Choo cha Familia ndani.
Ipo ndani ya Fensi na ina Tiles, Gypsum, Dirisha za Vioo.
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.