Country: Dar es Salaam
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Jengo la muundo wa kisasa.
Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.
Pia kuna Banda la Chumba kimoja nyuma.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
___________mpg
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Jengo la muundo wa kisasa. Vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Banda la Chumba kimoja nyuma. ___________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ...
https://advertisingdar.co.tz/ad/inauzwa-na-bank-tshs-40-milionimadale-mbopo/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.