Eneo ni Goba Senta.
Wastanj wa mita 200 tu kutoka Kituoni.
Kiwanja kjna ukubwa wa SQM. 300.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Jumla kuna Vyumba vya kulala vitatu (Kila Chumba na Choo chake ndani) Sebule na Jiko.
Pia kuna Fremu 1 ya Duka.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
____________jj
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.