Kiwanja kina ukubwa wa SQM 610.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Vyumba jumla vipo 5 (3-Vyoo ndani)
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na
Choo cha Familia ndani.
Ipo KIBUGUMO, umbali wa kilomita 1.5 tu kutoka Mataa ya MjiMwema.
WAHI HII BEI YA ZAWADI KWAKO MHITAJI WA KWELI KATIKA KUFUNGA MWAKA NA KUUKARIBISHA MPYA.
______________
ANGALIZO:
Maliok ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Mtaa umejengeka vizuri na nyumba ipo ndani ya Ukuta.
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.