Country: Dar es Salaam
Ni nyumbacya kisasa ya Sakafu 2. Ina vyumba 5 (Kila Chumba na Choo chake) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Bagamoyo, UPANDE WA KUSHOTO ukielekea Bagamoyo kutokea Dar. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,400. Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara. _______________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 19% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu. _______________emM
Ni nyumbacya kisasa ya Sakafu 2. Ina vyumba 5 (Kila Chumba na Choo chake) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Ipo umbali wa kilomita 1.5 kutoka Barabara ya Bagamoyo, UPANDE WA KUSHOTO ukielekea Bagamoyo kutokea Dar. K...
https://advertisingdar.co.tz/ad/ghorofa-ya-bankvyumba-5tshs-250-milbunju-a/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.