Country: Dar es Salaam
Hapa ni njia ya kuelekea MAKABE.
Jirani na Barabara ya Lami.
BEI RAFIKI YA KUWAHI HARAKA KAMA KWELI UNAJUA THAMANI YA PESA DHIDI YA MALI.
Jumba ni la kisasa, tulivu na lenye nafasi.
INAFAA FAMILIA INAYOHITAJI NAFASI,
AU KWA MATUMIZI YA OFISI YA BINAFSI YA KILEO.
Ina jumla ya:
Vyumba 8 vya kulala ( 3 kati ya hivyo vina Vyoo ndani)
Sebule 2, Jiko zuri na Vyoo vya Familia 2 na Store.
Parking kutosha yenye Paving Blocks.
Kiwanja SQM.900.
Umiliki ni HATI ( Title Deed) ya Wizara.
Mtaa ni Mtulivu na uliojengeka vizuri na kuzunguukwa na nyumba za Thamani ya juu.
INAUZWA KWA DHARULA.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
_________________ryt
Hapa ni njia ya kuelekea MAKABE. Jirani na Barabara ya Lami. BEI RAFIKI YA KUWAHI HARAKA KAMA KWELI UNAJUA THAMANI YA PESA DHIDI YA MALI. Jumba ni la kisasa, tulivu na lenye nafasi. INAFAA FAMILIA INAYOHITAJI NAFASI, AU KWA MATUMIZI YA OFISI YA BIN...
https://advertisingdar.co.tz/ad/ghorofa-kali-vyumba-8mbezi-magufuli-terminal/
Copyright 2025 © Advertising Dar. All Rights Reserved. Powered by Mindfield.