Kiwanja kina ukubwa wa Mita za Mraba 1,565.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
_______________
ANGALIZO:
Malioo ya Dalali ni 10%
Unalipa wewe Mnunuzi)
Wasiliana nami iwapk tu unaridhia taratibu zangu.
_______________tb
Hii ni nyumba yenye hadhi yake.
Kuna jumla ya vyumba vya kulala 6 ambapo kati ya hivyo 3 vina Vyoo vunavyojitegemea ndani.
Pia kuna Sebule kubwa,
Sehemu ya chakula, Jiko la kisasa pamoja na Choo cha Familia.
Eneo ni tulivu na mazingira ni ya kuvutia.
Ukihitajj kuikagua taarifa mapema tafadhali.