INAUZWA NA BANK.
Ni umbali wa kilomita moja kutoka Barabara ya Morogoro.
Kiwanja kina ukubwa mita za mraba 1150.
Umikiki ni Mkataba wa mauziano.
NAFASI KUBWA IPO WAZI.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuina ni Tshs.50,000.
(Unalioa wewe Mnunuzi)
Wasiliana namj iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________mpg
Vyumba vya kulala 2 vipo juu na kila kimoja kina Chok chake (ni masta)
Chini ni Sebule,Dining,Jiko na Store.
Ukihitajj kukagua taqrifa mapema tafadhali.